UKAME NI CHANGAMOTO KUBWA SANA KATIKA MAZINGIRA YA CHUO NA MKOA WA DODOMAKWA UJUMLA KIPINDI TULIPO KUWA LIKIZO NI KIPINDI AMBACHO UKAME ULIKUWA UMETAWALA HALI ILIYO SASABISHA MITI MINGI NA MAUA KUKAUKA.
WATU WENGI WAMEKUWA WAKILALAMIKA KUWA KAMPUNI NYINGI ZINAZOPEWAJUKUMU LA KUSHUGULIKIA MAZINGIRA ZINASHWIDWA KUKUDHI MAHITAJI YA UBORESHAJI WA MAZINGIRA
NINI MAONI YAKO KATIKA HILI??????
No comments:
Post a Comment