KUTOKANA NA MAHOJIANO MBALIMBALI AMBAYO TULIFANYA NA MADEREVA KATIKA KITUO CHA JAMATINI INAONYESHA KWAMBA HAKUNA MIOUNDO MBINU YA USAFIRI AMBAYO IMEBORESHWA ILI KUKUDHI MAHITAJI YA IDADI YA WANAFUNZI AMBAO WANATARAJIWA KUONGIA CHUO MWEZI HUU WA NOVEMBER,HIVYO CHANGAMOTO HII NI BORA KILA MMOJA WETU KAMA MDAU AKAITAMBUA NA KUTOA MAONI YAKE KATIKA BLOG HII ILI KUHAKIKISHA TUNAYAFIKISHA MAONI HAYO KATIKA KITENGO HUSIKA ILI KUBORESHA HALI HIYO.
No comments:
Post a Comment