Tangazo rasmi ambalo limebandikwa chuo na katika kila block linaonyesha kuwa continuing students wanatakiwa kulipia tz sh=56500 kama gharama ya accomodation ya nusu semester na siyo 63000/=
Kwa kuwa wanafunzi wengi wamelipia 63000/=,tunatumai utaratibu wa kuliweka sawa swala hili utafanyika tukifungua chuo.
Hivyo kama kuna continuing students bado hawajalipia,wanatakiwa kulipia gharama hiyo.
Acounts za kulipia ni hizi zifuatazo-
Direct cost acount (01j1083343300)
Tuition fee acount (01j1082344900)
No comments:
Post a Comment