FG

PAGES

FIELD AND TEMPORARY JOBS.

Kipindi cha likizo tuliwasiliana na wanafunzi wote wa mwaka wa tatu na kuwajulisha kuwa wale wote walofanya field tau tempo waandae simple reports na adress za maeneo husika ili  tukifungua tuje kuzitumia kwa shughuli mbalimbali zikiwepo ,
 1.Kujadili mambo mbalimbali kuhusu maendeleo na changamoto za jamii zetu.
 2.Hii itawasaidia pia wanafunzi wanaoingia mwaka wa 1 na wa 2 kwani watapata experience na pia adress mbalimbali ambazo zitawasaidia wao pia kuomba field au tempo kwenye maeneo mbalimbali walofanya wanafunzi wa mwaka wa 3.
 3.Kutokana na changamoto ya walimu wachache wa kusupervise research kwa wanafunzi wa mwaka wa 3,hii itatufanya tuwaombe walimu wetu watuelekeze jinsi ya kuandika paper mbalimbali  kuhusu research,proposals na vitu vinginevyo kupitia report tutazokuja nazo.
 4.Kupitia report hizi tutaongeza upeo wetu wa kuelewa mambo mbalimbali ya kijamii kwa undani zaidi.

No comments:

Post a Comment