Mwenyekiti Wa UDOMSSO Ibra akiwa anatoa Neno Kwa Wahudhuriji wa sherehe Hiyo.
Mgeni Rasmi Akiwa Anahutubia Mwanajamii wa Udom Wakati Wa Uzinduzi Wa UDOMSSO.
Hiyo Ndo Keki Ya Uzinduzi Wa UDOMSSO siku Hiyo
Hao Ndo Wanakamati Waliopendezesha Sherehe Nzima na Kufanya Kila Mmoja afurahie
Katiba Ya UDOMSSO ilipokua Ikifikwa Mbele Ya Wadau Wa UDOMSSO kwa Ajili Ya Kuzinduliwa
Mgeni Rasmi Akingojea Kuizindua Katiba Ya UDOMSSO.
Wadau Wakisubiri Kitu cha Keki Kikatwe Ili Wakile Vizuri Hapo Ni Wawakilishi Wa Mwaka Wa Kwanza, Wa Pili na Watatu Pamoja na Mwakilishi Wa Wazazi Na Walezi Wakingojea Kitu Cha Keki.
Kama Unavyojua Tena Sherehe Bila Mnuso Hakuna Kitu Hapo Ndo Ilikua Sehemu Ya Kuchukulia Msosi Mwenzangu

Wawakilishi Wa Mwaka Wa Kwanza Wanaosoma Sociology Wakilishana Keki
Wawakilishi Wa Mwaka Wa Pili Wakilishana Keki Hapo Palikua Patamu Maana Kila Mmoja udenda Ulianza Kumtoka
Kitu Cha Shampeini hakikua Nyuma Dada Hapo Akijiandaa Kuifungua Shampeini
Kama Unavyojua Tena Sherehe Bila Mnuso Hakuna Kitu Hapo Ndo Ilikua Sehemu Ya Kuchukulia Msosi Mwenzangu
Wadau Wakipita Kuchukua Msosi Hapo.Mdau Benard Akiwa Kwenye Msosi
Wadau Wengine Wakiwa Kwenye Mstari Wakingojea Kufika Kwenye Sehemu Ya Maakuli
Wanaojua kucheza nao hawakukubali kuachwa nyuma Wanajamii hao walikua Wanacheza miondoko ya kwaito
Mwenyekiti Wa UDOMSSO Ibra akiwa mbele Ya kamera Ya LJ na Memba Wake Katika Sherehe
Mwenyekiti Wa UDOMSSO Ibra Akiwa Ndani Ya Picha Ya Pamoja Na Wadau Wake Kutoka Kulia Ni Mdau LJ BLOG. Lukaza Josephat Mwenye Shati lenye rangi mbili ndani ya house
No comments:
Post a Comment