Kwa heshima na Taadhima naomba kwa wale wote waliosoma degree ya sociology ka ngazi yoyote, iwe ndani ya tanzania au nje ya nchi, bila kujali ni mwaka gani bora tuu ni sociologist, nitumie e-mail adress yako kwenye jucharl@yahoo.com ni kwa mema tu na sikwa mabaya.
Mengine tutawasiliana hukohuko kwenye e-mail utakayo tuma.labda kwa kutona uoga ni kwa ajili ya social n professional networking ambayo itakuwa useful kwa kila mmoja wetu
ukionatangazo ili mwambie na mwenzio unayemjua hata kwa simu ili tuwe na network kubwa.Ahsante
Kama Una swali uliza kwa kutumia e-mail hiyo juu na Utajibiwa.
HONGERA SANA UDOMSSO! IT IS OUR TIME TO ACT NOW, BECAUSE WE ARE ALIVE!PONGEZI KWA IBRA NA UONGOZI WAKE, PAMOJA NA KAMATI NZIMA YA MAANDALIZI. KWA WALE WALIODORG, NAPENDA KUWAAMBIA KUWA ONCE OPORTUNITY INAPOTOKEA HATUNA BUD KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA NA SIYO KUESCAPE. AS WE KNOW LIFE IS LIKE A RIVER, WE CANT TOUCH THE SAME WATER TWICE, SO WE HAVE TO CHERISH EVERY MOMMENT IN OUR LIFE.WANAJAMII TUNATAKIWA TUWE BARUA YA KUSOMWA NA KILA MTU KILA TUNAKOENDA, WE HAVE TO BE THE OUTCOME OF POSITIVITY...SI KWA JAMII YA UDOM TU, BALI KWA JAMII YA DUNIA NZIMA, UDOMSSO, "WE ARE HERE TO SERVE THE SOCIETY"... TUENDELEE KUMWOMBA MUNGU ATUPATIE UONGOZI BORA KAMA WA IBRA, WA KUJITUMA NA KUJITOLEA, ILI PINDI WATAKOPONDOKA,WATAKAOBAKI WAENDELEE KULISUKUMA GURUDUMU HILI LA UDOMSSO KULE LINAKOTAKIWA KUFIKA.ALL THE BEST, GOD BLESS ANY ONE WHO WILL READ THIS COMMENT, NAWAPENDA WOTE. MDAU 2ND YR, CAROLINE.caroforo87@yahoo.co.uk
ReplyDelete