Mwenyekiti Wa Taasisi Ya Wanafunzi wanaosomea Fani Ya Elimu Ya Jamii (SOCIOLOGY) akiwa anaongea na Mmoja Ya Masista Wa Kijiji Cha Matumaini kilichopo Dodoma Eneo La Kisasa.
Baadhi Ya Wanafunzi Wanaosomea Fani ya Elimu Ya Jamii (SOCIOLOGY) Walipokua Wakifafanuliwa jambo na Mmoja wa Masista Wa Kijiji Cha Matumaini Wakati walipotembelea Kijiji Cha Matumaini Kilichopo Dodoma Eneo La Kisasa Ambacho Wanaishi Watoto Wenye Virusi Vya Ukimwi.
Baadhi Ya Wanafunzi Wa Fani Ya Elimu ya Jamii (SOCIOLOGY)kutoka chuo kikuu cha Dodoma Katika Picha Ya Pamoja Na Baadhi Ya Watoto Waishio Katika Kijiji Cha Matumaini Hapo Jana
Mmoja Wa Wanafunzi Wanaosomea Fani Ya Elimu Ya Jamii(SOCIOLOGY) kutoka Cuo Kikuu Cha Dodoma Akiwa na Mtoto Mmoja Wapo.
Mwenyekiti wa Taasisi Ya Wanafunzi Wanasomea Fani ya Elimu Ya Jamii (SOCIOLOGY) ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Ibrahim Bakari Alipokua Akiongea na Watoto Wanaoishi Na virusi vya Ukimwi wa Kijiji Cha Matumaini kilichopo Dodoma Eneo La Kisasa.
Baadhi Ya Wanafunzi Wanasomea Fani Ya Elimu Ya Jamii (SOCIOLOGY) katika Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakiwa Wamekiti Chini Pamoja Na Watoto Waishio Na Virusi Vya Ukimwi Wa Kijiji Cha Matumaini kilichopo Dodoma Kisasa Kwa Kuguswa Kwako Na Matatizo Yanayowakabili Watoto Hao.
Wakati Wanafunzi Wa Fani Ya Elimu Ya Jamii Walipokua Wakikabidhi Msaada Waliowapelekea Watoto Hao.
Wakati Walipokua wakitembelea Moja ya Nyumba Ambazo Wanaishi Watoto hao
Upendo Wa Mama Kila Mtu Anahuitaji Mtoto huyu Ambae alijisikia Faraja Sana Pale alipobebwa na Mmoja Wa Wanafunzi Wenzetu Waliotembelea Kijiji Hiko.
Wanafunzi Wa Fani Ya Jamii Wakiongozwa na Mwenyekiti Wao Ibrahim Bakari wa pili kulia Walipokua Wakitoa Burudani Wakati walipowatembelea Watoto Waishio Kijiji Cha Matumaini.
Watoto Nao Huitaji faraja. Aisee tuli furahi sana kukaa na watoto hawa hadi wengine wakitamani kurudi na sisi Chuoni...
Mwenyekiti Wa Taasisi Ya UDOMSSO Ibrahim Bakari Na Masu Ndani Ya Kijiji Cha Matumaini.
Mdau Akimbembeleza Mtoto Hadi Mtoto Kapata Usingizi.
Kwa Picha Na Habari Zaidi <<<<<BOFYA HAPA>>>>
No comments:
Post a Comment