FG

PAGES

WANAFUNZI WANAOSOMA SHAHADA YA KWANZA YA SOSHOLOJIA CHUO KIKUU CHA DODOMA WALIVYOSHIRIKI BONANZA LILIOFANYIKA MWISHONI MWA WIKI

Hapa Ni netball wakijifua kabla ya mechi kuanza
 baadhi ya wanafunzi wa mwaka wa 2 na 3 wa sociology wakisubiri kutazama mechi
Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanafunzi wanaosomea Sosholojia Chuo Kikuu cha Dodoma Emanuel Misungwi (Mwenye suruali Nyeusi) akitoa neno kabla ya kufungua mechi ya netball kati ya mwaka wa 3 na 2
Mwenyekiti wa taasisi ya wanafunzi wa sosholojia chuo kikuu cha dodoma akifungua rasmii mechi hiyo kwa kurusha mpira kwenye pete
Hiki ndio Kikosi Cha Mwaka wa 2 Sosholoji ambacho kiliwafunga Mwaka 3 kwa mikwaju ya penati
Baadhi ya Wachezaji wa Mwaka wa 3 wakiwa katika picha ya pamoja na wanadarasa wenzao kabla ya mechi kuanza
Golikipa Wa Mwaka Wa 3 Sosholoji Josephat Lukaza akijitahidi kuokoa mkwaju wa Penati
Hiki ndio Kikosi Cha timu ya Mwaka wa 3 Sosholoji wakati kikiomba dua kabla ya mchezo kuanza dhidi ya kikosi cha Mwaka wa 2 Sosholoji
Wadau Wakifuatilia Mchezo wa Netball kati ya Mwaka wa 2 na Mwaka wa 3 sosholoji
Mwaka wa 2 Wakishangilia Mara baada ya Kuibuka Kidedea
Mwaka Wa 2 Sosholoji Wakijiachia Mbele ya Kamera Ya LUKAZA BLOG
 Wachezaji pamoja na washabiki wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya mechi
 Wadada wa mwaka wa Pili wakiweka pozi mbele ya kamera ya Lukaza Blog
 Hapa wadau walichanganyika kuanzia mwaka wa 2 hadi wa 3
 wengine wakifuatilia netball huku
 Madada wa mwaka wa 2 wakisoma gazeti kabla ya mechi kuanza ya netball
 Wakishindana Kukimbia Wadada wa mwaka wa 2 na wa 3 katika bonanza hilo
 hapa sasa twiga star mpo,Mdada Rachel kutoka mwaka wa 2 akipiga danadana baada ya mechi ya mpira wa miguu kumalizika na wao wakaingia shindanoni
Mdada leyla kutoka mwaka wa 3 naye akijibu mapigo
Wanafunzi wa Mwaka wa 2 wakifurahi mara Baada ya Kupata ushindi

5 comments:

  1. Tunashukuru brother Lukaza kwa kuendelea kuiboresha blog yetu siku hadi siku, tunashukuru pia kwa kuzipata info on time pindi unapozipata.
    Keep it up!
    |Udomsso kiboko yao!
    Udomso taa ya jamii!
    Udomsso bomba!

    Carol 3rd yr Baso

    ReplyDelete
  2. wadau mbona huku hamuonekani? tafadhali tunawaomba mjitoe kwa moyo wa dhati ili kufanikisha ziara yetu hapo tar 14/4/2012.
    all the best all
    Carol- treasurer
    udomsso

    ReplyDelete
  3. wanajamii tuipende na blog yetu na kuitembelea
    nawatakia maandalizi mema ya graduations na semister hii tumalize salama kwa amani..
    Mungu awabariki-carol

    ReplyDelete
  4. Mimi ni miongoni Mwa wanafunzi wanaosoma BA SOCIOLOGY AND SOCIAL WORK kutoka chuo kikuu Teofilo Kisanji (TEKU UNIVERSITY). NIMEFURAHI SANA KUONA WANAFUNZI WENZETU WA UDOMSSO MMEUNGANA NA KUSOMA KUELEKEZANA KUISOMA BLOG YENU. HUKU KWETU PIA TUNA BLOG YETU AMBAYO PIA INAITWA http://sociologist-baso.blogspot.com inahusisha mambo mbalimbali yafanywayo na wanafunzi wa BASO. Hivyo tunaomba tutembeleane ili tubadilishane mawazo. BLOG HIYO INARUSHA MASWALI YA AINA MBALIMBALI YANAYODISCUSIWA LECTURE OR PRESENTATION AND INDIVIDUAL ASSIGNMENT. KWA MIKONO 1000 TUNAWAKARIBISHA MUISOME NA MUJIONEE. BY CHIWAMBO AUSI R, TEKU UNIVERSITY-BASO STUDENT,TUKE UNIVERSITY

    ReplyDelete
  5. CHIWAMBO HAPA HEWANI, NAOMBA INTERVIEW NA FUNDI MITAMBO WA BLOG YENU YA UDOMSSO. ILI TUFANYE UTARATIBU WA KUWEKA CONNECTION NA VYUO VINGINE NCHINI NDANI NA NJE HASA WA BASO. CHIWAMBO 2nd YEAR TEKU UNIVERSITY. phone Number 0753110740, 0652403792, and 0785809128

    ReplyDelete