FG

PAGES

WANAFUNZI WA SHAHADA YA KWANZA YA SOSHOLOJIA YA CHUO KIKUU CHA DODOMA(UDOMSSO) WATEMBELEA HOSPITALI YA WAGONJWA WA AKILI YA MILEMBE NA KUKABIDHI MSAADA WENYE THAMANI YA SHILINGI LAKI TANO NA NUSU LEO

Wanafunzi wa Wanasoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) walipowasili katika hospitali ya wagonjwa wa akili ya Milembe iliyopo Dodoma kwaajili ya Kuwatembelea na Kukabidhi misaada yenye thamani ya Jumla ya Shiling aki tano na nusu
 Muuguzi Mfawidhi wa Hospitali ya Milembe Dk John Ndimo(Kulia) akiongea na wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) walipokwenda kutembelea hospitali hiyo kwa lengo la kutoa msaada na kujifunza pia.Wa Pili Kulia ni Msemaji wa Taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO) Mh Leo Joachim
Msemaji wa Taasisi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma(UDOMSSO) Mh Leo Joachim akiongea na Muuguzi mfawidhi wa Hospitali ya Milembe iliyopo Mkoani Dodoma huku akishuhudiwa na wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia kutoka Chuo kikuu Cha Dodoma (hawapo pichani)
Baadhi ya Wanafunzi wanaosomea shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakimsikiliza kwa makini Muuguzi mfawidhi wa hospitali ya Milembe wakatialipokua akieleza hali halisi ya hospitali hiyo leo
Katibu Wa taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada ya kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Mirobo Mashauri akijiandaa kukabidhi Misaada iliyotolewa  na Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu  Cha Dodoma wakati walipotembelea hospitali ya Milembe leo
Katibu Wa Taasisi Ya wanafunzi wanaosoma shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh Mirobo Mashauri akikabidh baadhi ya misaada iliyotolewa na Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakati walipotembelea hospitali hiyo leo\
 Muuguzi mfawidhi wa Hospitali ya Milembe Dk John Ndimo (Wa tatu kutoka Kulia) akishukuru kwa misaada iliyotolewa na Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakati walipotembelea hospitali hiyo leo
Baadhi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakisikiliza kwa makini maelezo ya Muuguzi mfawidhi wa Hospitali ya Milembe iliyopo Mkoani Dodoma wakati wanafunzi hao walipofanya ziara
Afisa Habari wa Taasisi ya wanafunzi wanaosoma shahada ya kwanza ya sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOMSSO) Mh Josephat Lukaza akiongea na ITV wakati wa Ziara ya wanafunzi wa sosholoji walipotembelea hospitali ya Milembe iliyopo Mkoani Dodoma
Makamu Mwenyekiti Wa Taasisi ya Wanafunzi wanaosoma Shahada ya Kwanza ya Sosholojia ya Chuo Kikuu Cha Dodoma Gaudensia Mwakemwa akiongea na ITV wakati wa ziara ya Wanafunzi wa Sosholojia wa Chuo Kikuu Cha Dodoma walipotembelea Hospitali ya Milembe leo
Wanafunzi wa Shahada ya Kwanza ya Sosholojia Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma wakiwa katika Maja
 Safari ya Kurudi Chuo Ikawadia na Hapo wanafunzi wakirejea Chuoni Mara baada ya Kutembelea Hospitali ya Milembe iliyopo Mkoani Dodoma 
Akijaribu kuelezea lengo haswa wakati alipohojia na kituo cha runinga cha ITV
Wakiwa makini kusikiliza somo....
Wakipanga vizuri
Wakiwa ndani ya basi la Chuo kurudi chuoni
Kama kawaida ...
Kumbe basi zuri hivi.....
muuguzi wa hospitali ya milembe aliyetupokea
Kijana (aliyeshika karatasi) akiuliza swali kwa muuguzi mfawidhi
Muuguzi Mfawidhi akishukuru kwa misaada hiyo
Ndani ya Basi kwaajili ya Kurudi Chuo
Akijaribu Kutafakari juu ya alichokiona wakati alipotembelea hospitali ya Milembe
 Mwalimu Mlezi Msaidizi akitoa shukrani kabla hatujaondoka kuelekea Chuoni

4 comments:

  1. That's fantastic job UDOMSO is doing to the surrounding society. The art of goodwill and love for the people in need is always the best. Once again, i show my appreciation for the job well done, hoping for the best from you people. God bless UDOMSO, and UDOM at large.(Lokoya Albert)

    ReplyDelete
  2. A very good thing that you have done- your proving right once again that you cant be a sociologist without being touched with social problem! am depply touched!

    ReplyDelete
  3. Actually for your good doing you make your relationships permanent with God.

    ReplyDelete
  4. Actually for your good doing you make your relationships permanent with God.

    ReplyDelete